Huyu Mchezaji ni nani? Alifunga goli hili katika Fainali dhidi ya Barcelona

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,327
5,507

Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1.

Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka hadi nje ya mstari wa uwanja kisha akarejea na kwenda kufunga?
 
Gareth bale
 
Anaitwa Gareth Bale alizaliwa July 16 1989 Cardiff hulo United Kingdom. Raia wa Wales katika mechi hiyo aliweza kuwapa Ushindi Real Madrid baada ya kupachika bao hilo alikuwa akikimbizana na Batra Centre Half ya FC Barcelona alipigwa push na kusogezwa pembeni ya uwanja kabla ya kufunguka kwa spidi kali na kufunga kwa kumpiga tobo goli kipa Pinto aliyekuwa akiva jezi namba 13. Ilikuwa ni dakika ya 84
Katika mechi hiyo star wa Real Madrid alishangilia bao hilo akiwa Jukwaani.
Asante🙏
 
Yani hata ningekuwa sijawahi kufuatilia mpira ningeingia tu google/youtube ku search hiyo fainali ya huo mwaka na ningepata jibu.
 
Gareth Frank Bale the 'Welsh maestro'
 
Tabia za Gareth Bale hizi
 
Kupitia hili goal, kwangu Gareth Bale ali warudishia Real Madrid gharama walizotumia kumnunua.
 
Sergio Busquets alimpush ila jamaa akazidisha mwendo.
 
Gareth bale alimzunguka Dan alves
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…