Huyu mchaga ni level ya juu sana

Kwa hiyo ndo umtangaze humu!
 
😁😁 kuna wachaga wanapigana miti mzee alafu na hivi wazuri unapata hamasa ya kushusha moto kama dragon.. Mie ndom huwa nakubali kutumia vizuri naweka na kitandani pembeni, ila tukianza romance nahakikisha network zake zimepiga chini, napeleka mjenge live live na wala haulizi tenaa
 
Noma sana
 
Facebook Iliana kwenye maneno ya Harvard mwak 2004; ya kwako ya 2002 ilikuwa Facebook ipi? Hata myspace nayo ilianza mwaka 2003. Labda ilikuwa Talk Coty ambayo ilikuwa text chatroom bila picha
 
😁😁😁
 
Kwako ndio ilianza 2004
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…