Huyu mbunge, mh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu mbunge, mh!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Raia Fulani, Apr 14, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mh. Madam speaker, kwa kuwa serikali yetu inaajiri wanajeshi kila mwaka, na kwa kuwa hakuna kitu wafanyacho zaidi ya kula na kukimbizana na raia. Na kwa kuwa serikali yetu inanunua silaha kila mwaka na silaha hizo hazitumiki ipasavyo na kwa wakati na hatimaye kuharibika na kudhuru raia kama ilivyotokea Mbagala na G'mboto. Je serikali haioni umuhimu wa kukodisha wanajesh wetu ili tupate nyongeza ya pato la kigeni? Na je, serikali haioni umuhimu wa kuomba vita vya kirafiki na jirani zetu ili kuchangamsha wanajeshi wetu na kutumia silaha ili zisilipuke ovyo?
   
 2. z

  zayat JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo mbunge is bubungu
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,319
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Itakuwa bora zaidi.
   
 4. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana mbunge kwani raia wa TZ watapumzika vipigo vya kila mara toka kwa hizi njemaba zilizoshiba na haziko busy. Wacha wakapigane na wababe wenzao hata kama ni somalia. Mfano mzuri ni Museveni na wanajeshi wake.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  tuombe vita ya kirafiki na Museven
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mimi nadhani tuombe vita vya kirafiki na Comoro ndio saizi yetu
   
 7. Ernie

  Ernie JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni vyema na haki na imetupasa ivyo, waende huko kabisa
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 3,991
  Likes Received: 11,615
  Trophy Points: 280
  Tulienda huko na hatukurusha risasi hata moja kinan kapten Bakar walikimbia kwani hawakuwa na jeshi la maana, Kwanini tusijiunge na waasi wa benghaz kumng'oa qhadafi, si unakumbuka namna alivyomsaidia mfalme Amin mwaka 1978/79
   
 9. M

  Matarese JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 514
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Museveni atatuonea aibu, tuombe tukipute na somalia!
   
 10. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,710
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  sasa sijui wataitwa jina maana timu za mpira tuna serengeti boys, maranyara boys, taifa stars hao tuwape jina lipi?
   
 11. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 235
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  lazima awe mbunge wa chi chi m.................
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  jei wii
   
 13. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 80
  nimeipenda hii jaman
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,072
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa, nimecheka mpaka basi!!!! vita vya kirafiki??? tuwapeleke wakasaidie kuiba madini hapo Congo, yaani imejaza vitambi tu! na kunywa bia za bure na kutembea na wake za watu!!!
   
 15. s

  sugi JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  tuwaite iron boyz complex
   
 16. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 424
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Naunga moko maana jeshi letu litalala usingizi, he he he!
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Tuombe vita vya kirafiki na al-shabab..
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,115
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Bwa ha ha ha hah! Funny thread of a day.
   
 19. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,562
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  waoga kama kunguru watakula kona tu.
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,923
  Likes Received: 1,929
  Trophy Points: 280
  mi nawaza tu kiinglio....kwenye jei wii stars vs alshabaab.
   
Loading...