Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
It was yesterday!
"
Ndipo aliponifuata na kunieleza,
"
Sijui ni kwanini alinichagua mimi,lakini ndo hivyo,nilianza kumuona wiki moja iliyopita,
"
Kabla ya hapo nilikua sijapata kumuona ana umri wa miaka 49!
"
Aliniambia yafuatayo;
Baada ya salamu akaanza,"Kijana samahani,tangu nimekua hapa nimekuwa nasumbuliwa na mawazo na nimeona niseme angalau naweza nikapata nafuu"
"
"Nimeolewa na nina watoto 7,wawili wameshamaliza elimu ya msingi,wa 2 wameishia darasa la 4 na mmoja nimeshindwa kumpeleka shule na wa mwisho ndo huyu mdogo unaemuona hapa".
"
"Mume wangu hana kazi na hataki kujishughulisha,tangu apunguzwe kazi mwaka 2004 mpaka sasa amekua ni mtu wa hasira na hataki kazi"
"
"Mimi kazi yangu hii ya umama ntilie ndo nilipe kodi ya nyumba,nilishe watoto na mahitaji yao mengine".
"
"Kiukweli nimechoka.Natamani niitelekeze familia niende Kahama nikatafute hata kazi ya u-baa maid!"
"
"Kwani maisha yamenichosha na huyu mwanaume nae amekua kama mtoto,namlisha na unyumba nampa,amenichosha mno"
"
"Mdogo wangu nimekusimulia usishangae kusikia nimejinyonga"
"
Aliponiambia hayo akaanza kulia,ikabidi nianze kumtuliza kisha tukaongea machache tukaagana kwa ahadi kuzungumza zaidi kesho.
"
Unaweza kudhani una shida,kumbe huna,kwani wapo wenye shida zaidi yako tena za kustaajabisha!