Huyu mama ni nani? Ni usalama wa taifa? Namuona sana na mke wa Dr Shein

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Huyu mama ni nani?

Huwa namuonaga sana akiambatana na mke wa Dr Shein tokea kipindi Shein ni Rais Wa Zanzibar.

Kwenye matukio mbali mbali hata kwenye shughuli nyingi huonekana naye.

Huyu mama ni nani haswa?Je, ni usalama wa taifa?Au mpambe wa first lady?

IMG-20220617-WA0003.jpg
 
Kaka vipi hatuoni machapisho ya Iran na Hayatolla,mkataba umeisha au umebadilsha dhehebu kutoka shia kwenda Ibadhi?
 
Atakuwa ni mamako tu
Huyu mama ni nani?Huwa namuonaga sana akiambatana na mke wa Dr Shein tokea kipindi Shein ni Rais Wa Zanzibar

Kwenye matukio mbali mbali hata kwenye shughuli nyingi huonekana naye

Huyu mama ni nani haswa?Jee ni usalama wa taifa?Au mpambe wa first lady??

View attachment 2263623
 
Back
Top Bottom