Huyu Mama Mwenye Nyumba Simwelewi!!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Nimepanga sehemu moja hapa DSM lakini Mama mwenye nyumba simwelewi kabisa!!!

Wakati tunaingia naye mkataba MASHARTI yalikuwa machache sana but akaongeza mengine yafuatayo:
1. Hataki wageni wengi iwe wa KIKE au KIUME.
2. Hataki nitembelewe na WATOTO rum kwangu kuanzia 0-10 yrs.
3. Akija MGENI wa aina yoyote lazima nikamtambulishe kwake.
4. WAGENi mwisho kunitembelea saa 12 jioni.
5. Hataki kusikia hata SAUTI ndogo ya MUZIKI wowote.

Mbaya zaidi akiona nimeleta BINTI anakuja kukaa karibu na MLANGO wa rum ili asikie mnafanya nini ndani!!! Huyu MAMA anatatizo gani??!!

HAPPY NEW YEAR 2011!!!
 
Anakupenda huyo, hataki kuona unaharibu maisha yako kwa mambo ya mpito...:teeth:
 
Nimepanga sehemu moja hapa DSM lakini Mama mwenye nyumba simwelewi kabisa!!!

Wakati tunaingia naye mkataba MASHARTI yalikuwa machache sana but akaongeza mengine yafuatayo:
1. Hataki wageni wengi iwe wa KIKE au KIUME.
2. Hataki nitembelewe na WATOTO rum kwangu kuanzia 0-10 yrs.
3. Akija MGENI wa aina yoyote lazima nikamtambulishe kwake.
4. WAGENi mwisho kunitembelea saa 12 jioni.
5. Hataki kusikia hata SAUTI ndogo ya MUZIKI wowote.

Mbaya zaidi akiona nimeleta BINTI anakuja kukaa karibu na MLANGO wa rum ili asikie mnafanya nini ndani!!! Huyu MAMA anatatizo gani??!!

HAPPY NEW YEAR 2011!!!

EG. Unataka mama wawatu atumie lugha ipi umuelewe???
 
Akikaa mlangono toka nje uchi kabisaaa
Uone kama atakaa tena :bounce:
 
ngoja akupandishie mashetani siku moja ndo utaelewa fuata ushauri wa PRETA
 
Akikaa mlangono toka nje uchi kabisaaa
Uone kama atakaa tena :bounce:

Duh..kimbweka hii ndio mwisho wa mawazo.....imenibidi nicheke tu....nika imagine Eng huyo anatoka anajinyoosha langoni UCHIIIIIIIIIIIIIIIII....mama wa watu si atazimia!!! ahahhahaha...karibu 2011
 
Ahh siku akikaa mlangoni nyie toeni miguno ya mahaba tuone, agrrrr vizee vingine nuski sana:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom