Huyu mama mkwe simuelewi

hahahhaha you made my morning mkuu
 
Mkuu umentatza kusema unafkr baba yake kavuta long kidogo.. Inamaana huna uhakika, hata hujui kuhusu habar za mzaz wa mkeo kweli.. Mkiwa mnatunga hadithi muwe makin juu ya haya..
 

YEYEEEEE
 
Mnajaza sana server za JF kwa hadithi zisizo haririwa vizuri.Eti "nafikiri"baba yake alishavuta kitambo,huyo ni make au ni hawa dada zetu wa mwendokasi?
 
Mama Mkwe?
Haupo serious wewe.
Acha upumbavu. Pata picha ndo mama ako ndo anamegwa kisela na kijana wa rika lako.
Mbona unareact kias hcho kwan mama mkwe kashamwambia kuwa wanataka kumegana??au ushacoclude kabla y muhusika mwenyewe??
unafelii mkuuuuu!!
 
Unafikiri
 
anamzazi mmoja yani mama tu na babake nafikiri alikushavuta shuka long kidogo

Yaani hujui kama baba mkwe wako ni marehemu ama lah!! Kuna Tatizo kwenye ndoa yako ndy maana unamtamnai mama mkwe wako.

Mkuu nilitaka kunena uliyonena.Inakuwaje mtu hujui baba mkwe wako kama alifariki au la!!!Hii story ya kutunga ama huyo sio mke wake bali alichukua hawara wa bar wanaishi pamoja.
 
Mkomalie huyo mama uweke heshima kuanzia sasa, mueleze wazi kuwa unamheshimu sana na uso mbadilishie kabisa. Ukimchekea, ukimkimbia sijui heshima, anaweza kufunga virago kuja kukaa na nyinyi huko mliko, utakimbia nyumba?
Sio kizazi cha single momie kweli hicho
 
Hujajua alichokuitia bado hivyo nenda kamsikilize anasemaje na ukitoka pale ulete mrejesho hata kama atakuwa amekupa hati yake ya nyumba.
KUBALI WITO KATAA NENO, KAMSIKIKIZE MZAA CHEMA WAKO ATAKUWA NA KIZURI CHA KUKUAMBIA.
 
Yani mkuu hujui hata babamkwe wako kafariki lini?? Unajua kilichomuua?? Wala usiende kuonana na huyo mama, mwambie umepata dharura kama vipi akuambie hayo maongezi kwenye simu...kimbia zinaa ndugu
 
Achana kabisa kijana na huyo mama mkwe ni laana kubwa sana!!!!!binti yake tu nadhani anakutosha!!!!
Alafu tabia yako ya kufanyia mazoezi ukweni uache kaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…