Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,722
Wanabodi
Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini!
www.jamiiforums.com
Matamshi haya ku mu address Mkuu wa nchi na rais wako kumuita ”Huyu mama... mi nikamwangalia tuu”!kutoka kwa kiongozi wa dini kubwa,tena akiwa mimbarini!,hii sio sawa!.
Japo jina la mama kwa mwanamke yoyote ni jina la heshima,ila the tone iliyotumika ku mu address Mkuu wa nchi,sio tone ya heshima!。
Hii sio lugha ya mimbarini!,hii ni lugha ya kijiweni!. Rais wa Nchi ni Rais wa nchi,hata akiwa ni mwanamke,au ni mama, ni rais wa nchi,na sio huyu Mama!。 Rais wa nchi ni lazima aheshimiwe na wote sio as an option but obligation!Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
HIi ya kusema rais lazima aheshimiwe isije kuchanganywa na kuabidiwa Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!
Hii ya mimi kuomba rais aheshimiwe, kuna watu wanaweza kunidhania mimi ni chawa!, mimi sio chawa, sijawahi kuwa chawa na kamwe siwezi kuwa chawa!
Awamu zote, mazuri napongeza, madhaifu nakosoa!
Nilianza na JK, Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" pia Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!
Nikaja kwa JPM, Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli na kuwasisitiza Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe
Na sasa ndio Rais.Samia!, Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo mimi sio chawa wa mtu yoyote, kwangu mimi ni Maslahi ya taifa tuu mbele!.
Paskali
Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini!
Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe
https://youtu.be/KcSIOQxAh64?si=7rOHRwCBPK3Bcu2R My Take Rais asiwasikilize wapambe kina Wasira, akubali reforms