Huyu machinga wa mihogo ya kuchoma noooma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu machinga wa mihogo ya kuchoma noooma!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, Sep 28, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  View attachment 66449
  Nimemkuta huyu jamaa mitaa ya Bibi Titi akitembeza kitu ya kuroast.
  Lakini kwa hiyo body movement napenda kutoa onyo kwa wanaokula vya barabarani.
  Jamaa anajikuna sehemu nyeti halafu ataku-serve chakula cha moto na ninihii motomoto!!!
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hahahah
  Mkuu masopakyindi alikuwa anapandisha jeans yake bana
  si unaona huo mlegezo aliouvaa aise jeans inashuka
   
 3. MUSONI

  MUSONI JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  KATA K YA NGUVU....!! :rockon:
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,471
  Likes Received: 4,744
  Trophy Points: 280
  ungejua alacho nyuki....................................................
   
Loading...