Huyu lazima atoe kura

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
William mgombea ubunge la EA kiwa an mbunge catherine magige
574468_3767176537185_1209820481_33744045_327030572_n.jpg
 
kulikuwa na umuhimu wa kumuegemea? just jokin....umeshapita kaka. kwani hii picha nimeipenda sana na bila shaka huyu ni mbunge wa kuteuliwa
 
Huyu kijana hajanikalia sawa, hana wasiwasi kabisa akiwa hata na wanawake! Na hizo pozi zake ndio kabisa! kwema?
 
kulikuwa na umuhimu wa kumuegemea? just jokin....umeshapita kaka. kwani hii picha nimeipenda sana na bila shaka huyu ni mbunge wa kuteuliwa

Jamani samahani, hivi hawa wanaoitwa wabunge wa kuteuliwa ni kwamba wako pale bungeni kujaza namba ama vipi? Kwa sababu mitaani utasikia hana lolote yule si ni mbunge tu wa viti maalum/kuteuliwa. Picha ninayopata hapa ni kwamba hawa wabunge wanafananishwa na vihiyo, je ni kweli au si sahihi? Kingine wanachosifika nacho ni kwamba hawa ni chakula ya wazee badala ya kazi ngumu pale Dom bungeni. Mhhhh, kweli ubunge una raha yake!
 
Mutoto nyeupe pande za a town chakura ya nani hii mashalaa.Kijana egemea tu mizigo ya watu watakunyima kura wenyewe wapo humo humo ndani ya mjengo shtuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom