Huyu kweli anaakili nzuri?

Huyo ngombe wa kufugwa nyumbani wa Maziwa CowBell, hana madhara!
 
nadhani akili nzuri ataipata baada ya kitakachotokea hapo...
 
Huyu ngo'mbe atakuwa amefungwa kamba kwa hiyo anajua hawezi kumfanya chochote
 
Nazani ni mtaalamu wa saikologia ya wanyama,kwa hiyo anajua anachokifanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…