Huyu kwa Kiswahili anaitwaje?

Huyu kwa Kiswahili anaitwaje?

Ingawa umepata credits nyingi kwa kupenda maelezo yako naomba turekebishane hapo juu..Huyu ni chui yaani tiger.(na sio Simba Marara)..kwanini kiswahili chake kiwe Simba marara wakati ni chui???.Ukisema chui marara sitakubishia
Huyu ni chui...kwa kiingereza anaitwa Siberian Tiger (Panthera tigris altaica)...one of endangered species. Anapatikana katika nchi za mashariki ya mbali yaani Asia na Urusi. Ni mnyama pekee anaeweza kupambana na simba na bears akikutana nao katika mawindo
220px-Tiger_vs._Bear_%282%29.jpg

Kwa hapa Tanzania sina uhakika sana kama jamii ya chui huyu tunayo.... Kama wapo tujuzane ile wataalamu wakafanye utafiti.

Tiger ni jinale kwa kiingereza,
Kiswahili chake ni "Simba-Marara". Marara ni ile milia yake inavyoonekana. Ana nguvu na speed kuliko simba wa kawaida. Pia ana uwezo wa kulifuata windo lake ndani ya maji.

Wanaosema ni Duma wamekosea, maana duma anaitwa Cheetah kwa kimombo

Tafsiri hii niliipata zamani kidogo (miaka ya 80 mwishoni) wakati nasoma picture-book ya wanyama.
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Mkuu, hata simba ni jamii ya paka labda uingie wikipedia ujisomee mwenyewe! Hivyo akiitwa simba marara ni sawa tu sio lazima aitwe chui marara kwa sababu wote ni cat family.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Ingawa umepata credits nyingi kwa kupenda maelezo yako naomba turekebishane hapo juu..Huyu ni chui yaani tiger.(na sio Simba Marara)..kwanini kiswahili chake kiwe Simba marara wakati ni chui???......
Mkuu ndo ukubali kuwa kiswahili chetu kina mapengo mengi.
Sikuzaliwa najua kila kitu ila kupitia mafunzo na maandiko ndo vilivyonifikisha kusema hivyo.

Unaweza kupitia hii link mkuu ukaongeza elimu TIGER

Pia nawashauri members wenzangu kuwa tuwe tunafanya tafiti zitatusaidia kufahamu mengi
 
Tiger ni jinale kwa kiingereza,
Kiswahili chake ni "Simba-Marara". Marara ni ile milia yake inavyoonekana. Ana nguvu na speed kuliko simba wa kawaida. Pia ana uwezo wa kulifuata windo lake ndani ya maji.

Wanaosema ni Duma wamekosea, maana duma anaitwa Cheetah kwa kimombo

Tafsiri hii niliipata zamani kidogo (miaka ya 80 mwishoni) wakati nasoma picture-book ya wanyama.

Mkuu uko sahihi sana, ningekupa ka like bahati mbaya natumia mchina, bravo!
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Similar Discussions

Back
Top Bottom