Huyu kiongozi wa CHADEMA ndio aliyesababisha chama kuchukiwa sana

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
Mimi Sijawahi kuwa mwanachama wa Chadema ila kwa mantiki kama chama cha siasa lazima usikilize mrengo wao

Kipindi cha Dr. Slaa chama kilikuwa kinaheshimika kwa sababu ya kujenga hoja na Mzee Slaa alikuwa anawafua vijana nini cha kuongea mbele ya umma

Ila alipoondoka Dr Slaa akaja jamaa moja anaropoka kila linalomjia kichwani, kutoa lugha chafu, kudharau wengine Kwa kisingizio cha yeye mnadhimu wa upinzani

Ni ukweli Siasa za lissu zimeifanya Chadema kupoteza muelekeo kabisa

Watanzania hawakuzoea lugha chafu, matusi na dharau Kwahiyo Chadema mtambue aliyeua sacos yenu ni Lissu a very hopeless man

Kwa heri Chadema kwaheri Mabeberu weusi
 
Kawe Alumni kwanini unataka CHADEMA ipendwe?
Mmesikia Tundu Lissu katangaza Nia mmeanza kumchafua mitandaoni.
Mlijaribu kuutoa uhai wake kwa mtutu mkashindwa. Mmempora mafao na stahiki zake za kibunge bado hamjaridhika.
Wazungu wanasema nobody knows tomorrow, na sisi 🇹🇿 tunasema, Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Mungu huinua, Tena huangusha. Kama alivyo mwinua DAUDI (sio Daudi Mchambuzi) ndivyo alivyo mwangusha Sauli.
Visa ambavyo Magufuli amefanya kwa Tundu Lissu, ni sawa kabisa na visa vya Sauli kwa Mfalme DAUDI lakini mwisho wa siku Mfalme DAUDI akatawa Israel.
Mungu akikukataa amekukataa tu, tume yako ya uchaguzi haitakusaidia, polisi hawatakusaidia, TISS na jeshi havitakusaidia.
Hata wale wachawi elfu moja wa Gamboshi watakugeuka.
Ni swala la muda tu.
 
”Usifurahi juu ya anguko la adui yako”.

Hili ni agizo gumu sana, practically impossible... ni kwa neema tu.
 
Mimi Sijawahi kuwa mwanachama wa Chadema ila kwa mantiki kama chama cha siasa lazima usikilize mrengo wao

Kipindi cha Dr. Slaa chama kilikuwa kinaheshimika kwa sababu ya kujenga hoja na Mzee Slaa alikuwa anawafua vijana nini cha kuongea mbele ya umma

Ila alipoondoka Dr Slaa akaja jamaa moja anaropoka kila linalomjia kichwani, kutoa lugha chafu, kudharau wengine Kwa kisingizio cha yeye mnadhimu wa upinzani

Ni ukweli Siasa za lissu zimeifanya Chadema kupoteza muelekeo kabisa

Watanzania hawakuzoea lugha chafu, matusi na dharau Kwahiyo Chadema mtambue aliyeua sacos yenu ni Lissu a very hopeless man

Kwa heri Chadema kwaheri Mabeberu weusi
UPUMBAVU MTUPU ULICHOANDIKA
 
Post yako

Post yako Amelike magonjwa mtambuka bado kawe alumni elitwege na bia yenu
 
Kawe Alumni kwanini unataka CHADEMA ipendwe?
Mmesikia Tundu Lissu katangaza Nia mmeanza kumchafua mitandaoni.
Mlijaribu kuutoa uhai wake kwa mtutu mkashindwa. Mmempora mafao na stahiki zake za kibunge bado hamjaridhika.
Wazungu wanasema nobody knows tomorrow, na sisi tunasema, Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Mungu huinua, Tena huangusha. Kama alivyo mwinua DAUDI (sio Daudi Mchambuzi) ndivyo alivyo mwangusha Sauli.
Visa ambavyo Magufuli amefanya kwa Tundu Lissu, ni sawa kabisa na visa vya Sauli kwa Mfalme DAUDI lakini mwisho wa siku Mfalme DAUDI akatawa Israel.
Mungu akikukataa amekukataa tu, tume yako ya uchaguzi haitakusaidia, polisi hawatakusaidia, TISS na jeshi havitakusaidia.
Hata wale wachawi elfu moja wa Gamboshi watakugeuka.
Ni swala la muda tu.
Mungu akikukataa amekukataa tu, tume yako ya uchaguzi haitakusaidia, polisi hawatakusaidia, TISS na jeshi havitakusaidia.
Hata wale wachawi elfu moja wa Gamboshi watakugeuka.
Ni swala la muda tu.

Jr
 
Kawe Alumni kwanini unataka CHADEMA ipendwe?
Mmesikia Tundu Lissu katangaza Nia mmeanza kumchafua mitandaoni.
Mlijaribu kuutoa uhai wake kwa mtutu mkashindwa. Mmempora mafao na stahiki zake za kibunge bado hamjaridhika.
Wazungu wanasema nobody knows tomorrow, na sisi 🇹🇿 tunasema, Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Mungu huinua, Tena huangusha. Kama alivyo mwinua DAUDI (sio Daudi Mchambuzi) ndivyo alivyo mwangusha Sauli.
Visa ambavyo Magufuli amefanya kwa Tundu Lissu, ni sawa kabisa na visa vya Sauli kwa Mfalme DAUDI lakini mwisho wa siku Mfalme DAUDI akatawa Israel.
Mungu akikukataa amekukataa tu, tume yako ya uchaguzi haitakusaidia, polisi hawatakusaidia, TISS na jeshi havitakusaidia.
Hata wale wachawi elfu moja wa Gamboshi watakugeuka.
Ni swala la muda tu.
Mwamba wa nyanda za juu kusini umenena haujawahi kuniangusha.
 
Hahah Kwahiyo Mkuu tindu lissu anawadanganya atashinda Urais kwa kusaidiwa na Mabeberu ?

Mnahitaji msaada wa kisaikolojia

Rais Magufuli haitaji polisi kwani Watanzania tunampenda sana
Mungu akikukataa amekukataa tu, tume yako ya uchaguzi haitakusaidia, polisi hawatakusaidia, TISS na jeshi havitakusaidia.
Hata wale wachawi elfu moja wa Gamboshi watakugeuka.
Ni swala la muda tu.

Jr
 
Baada ya kuingiza maneno machafu Chadema akageukia kutukana Viongozi wa serkali
 
Mkuu siku wapinzani wakichukua nchi ,,,naona kabisa magereza yatajaa.

Back
Top Bottom