aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,527
- 21,151
Uko sahihiKwasababu waandishi wa habari wote ni wanaume
Kuna watu muda wote mawazo yao yanawaza uovu tu
Uko sahihiKwasababu waandishi wa habari wote ni wanaume
Kuna watu muda wote mawazo yao yanawaza uovu tu
Hapo sawa solution ni atafute tu kazi nyingineKwani ni lazima kuwa na mazoea na boss wako kiasi kwamba ukiwa bize anakuja kumpeleka mpenzi wako mahali bila wewe kuwepo?
Nafikiri jamaa akishajua boss wake ambaye ndiyo amemuunganisha na huyo mpenzi anamtongoza, basi ataamua atafute kazi nyingine, aache mazoea au akubali amegewe yaishe.
Maoni tu mkuu nimetoa 🤣Unataka kuanzisha mada nyingine sasa
N sawa na nione Malaya afu nianze kumsikitia wakati yupo kazini anaingiza pesa 😂Unaumia ni yako
Kazi ni ya serikalini dear.. na boss sio kwamba yuko peke yake wako wengi ila bado anabaki kwake kama boss wakeKwani ni lazima kuwa na mazoea na boss wako kiasi kwamba ukiwa bize anakuja kumpeleka mpenzi wako mahali bila wewe kuwepo?
Nafikiri jamaa akishajua boss wake ambaye ndiyo amemuunganisha na huyo mpenzi anamtongoza, basi ataamua atafute kazi nyingine, aache mazoea au akubali amegewe yaishe.
Kalale acha kubishana na wanawake.. unafikili mimi ni kama chura kiziwi in kimama voiceN sawa na nione Malaya afu nianze kumsitikia wakati yupo kazini anaingiza pesa 😂
Kisirani chake Ndo kwanza kimeanza, ngoja ukiamshe vzr 😂Na bado😎
HaiwezekaniHapo sawa solution ni atafute tu kazi nyingine
Aaah achana nae mkuu saizi kauli mbiu yetu ni moja TU tunaiga view bila reaction au comment yeyoteKisirani chake Ndo kwanza kimeanza, ngoja ukiamshe vzr 😂
Sibishani na ww, ila nakwambia Acha uboya na mada zenu za kimaandaziKalale acha kubishana na wanawake.. unafikili mimi ni kama chura kiziwi in kimama voice
MwanaukomeUnaambiwa mwandishi wa huu uzi ndo think tank ya CHADEMA
Mada yako ya kichapati iko wapi au unasubiri Watu wapost u comment.. na wanaume wa TZ mlivyo waoga hadi wanawake tunawashinda mnachojua nyie ni ku comments matusi kwenye post za watu kuandamana aahSibishani na ww, ila nakwambia Acha uboya na mada zenu za kimaandazi
Kesho mapema tuu, uko pande zipi nikupitie?Mada yako ya kichapati iko wapi au unasubiri Watu wapost u comment.. na wanaume wa TZ mlivyo waoga hadi wanawake tunawashinda mnachojua nyie ni ku comments matusi kwenye post za watu kuandamana aah
Huo u seriously wako tuuone kesho Sio blablah kwenye post za watu
Mawazo ya mwanadamu siku zote yamejaa uovuHuyo dogo uliunganishwa nae anafirwa na huyo firauni kibosile Kwenye nyekundu ni ileile tu
Haiwi kijani.
Hapo huna mume wala mchumba kimbia au mfanye 3some.
Basi hamna rangi utaacha kuionaHaiwezekani
We unajua tumepanga nn mm na huyo niliyekukutanisha naye...Tukiwa tunajiandaa na maandamano siku ya kesho nimeona niyatoe ya moyoni maana sina pa kuyatolea
Nimekuwa na mahusiano ni kijana mmoja wa kawaida tu hawa wadada tunawaita sura personal maana nyie ma handsome boy siwataki mmenipiga sana matukio
Sasa kilichonileta hapa sio huyo kijana bali ni mtu aliefanya Mimi nikafahamiana na huyu Kijana wangu
Kiufupi yeye ndio alietuunganisha maana tulikuwa hatujuani
Ipo hivi huyu jamaa (Alietuunganisha)amekuwa akinitongoza takribani miaka 4 sijawahi kumkubali na hata alipotaka kunioa nilikataa na nashukuru Mungu ameshao mwanamke mwingine
Kisa cha kumkataa ni kuwa hatuendi kimuonekano ni wale Watu ma giant halafu mimi mdogomdogo hata nikitembea nae anaonekana kama baba angu na kingine ana umri mkubwa kwangu, na sikumpenda,,kwaiyo nikaona sina sababu ya kuwa nae nikamkwepa.. HAJAWAHI KUNIKULA HATA UKARIBU WOWOTE WA KIMWILI
Basi maisha yamesonga tunawasiliana kuna siku aliniuliza kama nimepata mahusiano nikamjibu sina ilikuwa ni utani tu nikashanga kampa huyo kijana ambae nipo nae sasa namba yangu.. akasema tu Kijana mzuri huyo nipo naë kazini ametulia ishi nae
Yule kaka tuliwasiliana tukakubaliana wenyewe na Tukaanza mahusiano hana shida na mimi nimeona ana faa tu maana ni mtu ambae age mate
Sasa kinachonikera huyo alietuunganisha ni anatufuatilia sana mara a muulizee Kijana wangu kuhusu mimi yaani kiufupi anataka kujua kila kinachoendelea mimi hili jambo silipendi na nimeshamwambia Kijana wangu mimi sitaki mambo yetu aendelee kuyajua maana yeye kazi yake imeisha
Sasa kinachoniwazisha ni huyu kijana wangu kwa huyo kaka (Alietuunganisha)ni boss wake na mimi nilimwambiaga namchukuliaga kama bro kwaiyo always akiongea habari zake anatumia neno bro wako anakusalimia, sijawahi kumwambia kama amewahi kunitongoza
Kuna kitu sasa kakifanya kinaniwazisha
Nilikuwa kwa Kijana sasa nikatakiwa kuwahi kutoka na Kijana hakuweza kupata ruhusa kunipeleka ikabidi huyo bro wa mchongo anipeleke alikuja na mwenzake ambae nae anamwita boss
Sasa akaanza kuwa ananiita mchumba sijui za siku nyingi mara mchumba sijui hivi sikutaka kuongea nikawa navunga nisimuaibishe kwa huyo mfanyakazi wake.. sasa nina wasiwasi usije kuwa huyo mfanyakazi akachukulia seriously akamwambia Kijana wangu 😟 Mimi nataka nitulie nae jmn
Nifanyaje huyu bro wa mchongo aache kiherehere ananikwaza
Ndo ukweli ulivyo uelewe,haiwezekani mtu akupe kazi na mchumba na bado anawafataMawazo ya mwanadamu siku zote yamejaa uovu
Kimtokacho mtu ndicho kimjaacho moyo wake
Maneno mabaya mabaya kuwayasema na kuyaandika munawezaje nyie watu kheeeee😳🙌🏻
Duhh how old are you?Kazi ni ya serikalini dear.. na boss sio kwamba yuko peke yake wako wengi ila bado anabaki kwake kama boss wake
Halafu sasa nilitakiwa niondoke siku moja kabla ya siku niondoke maana kijana wangu kesho yake asingepata nafasi ya kunisindikiza kwa ubize wa kazi huyo bro wa mchongo akakataa mimi kuondoka akasema anakuja kuniona hiyo siku na atamuombea ruhusa huyo kijana wangu ili anisindikize iyo siku nyingine.. nashangaa siku imefika kijana wangu akanipigia jiandae bro wako anakuja kukupitia akupeleke mimi imeshindikana kupata ruhusa yaani iliniuma sana
Sijui anataka kufanya nini 😫