Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,166
- 104,762
HakikaNdo maama me nilisema kwamba saizi tusiwe tunajibu thread zisizoeleweka kama hizi mkuu
Wawe wanaona tu views 7k halafu 0 replies na no reactions😎
HakikaNdo maama me nilisema kwamba saizi tusiwe tunajibu thread zisizoeleweka kama hizi mkuu
Wawe wanaona tu views 7k halafu 0 replies na no reactions😎
Nenda Kule jukwaa la siasa ukaandamane humu ni humu tuYes, naandamana online
Unataka kuanzisha mada nyingine sasaHakuna mwanamke anayeweza kuandika gazeti lote hili.
Au unasemaje Brother Evelyn Salt
Daah kichwa inauma aisee mimi amenikwazaHajakwita mchumba kwa bahati mbaya kijana wako alipangwa na boss wake akule halafu alale mbele. Sasa inaonekana kijana alekupenda kikweli ndio boss amekuja na huyo shahidi wake ampe kijana habari kama wewe ni mchumba wa boss(manake umeitwa mchumba na hujakataa).
Hii iliwahi kutokea wakati nipo shule rafiki yangu alikataliwa na msichana mmoja. Sasa akanipa mimi yule dada alinikubali huyu rafiki yangu nae alikuwa anataka kujua kama nishamkula huyu Mwanamke kila tukionana. Yaani yeye tukionana tu anataka kujua nini kina endelea kati yangu na huyu alokuwa mwenza wangu.
Kwa mtindo huu inaonekana una tayizo la afya ya akili😬Nenda Kule jukwaa la siasa ukaandamane humu ni humu tu
Na ww utaendelea kulombwa tuu, mana ww n wa humu tuuNenda Kule jukwaa la siasa ukaandamane humu ni humu tu
Ndo maama me nilisema kwamba saizi tusiwe tunajibu thread zisizoeleweka kama hizi mkuu
Wawe wanaona tu views 7k halafu 0 replies na no reactions😎
Ni wewe maana kama uko seriously Ungekuwa zako uko jukwaa la siasa mkipanga namna ya kukabiliana na polisi kesho na sio kujibizana na mwanamke hapaKwa mtindo huu inaonekana una tayizo la afya ya akili😬
Unaumia ni yakoNa ww utaendelea kulombwa tuu, mana ww n wa humu tuu
Na bado😎Ni wewe maana kama uko seriously Ungekuwa zako uko jukwaa la siasa mkipanga namna ya kukabiliana na polisi kesho na sio kujibizana na mwanamke hapa
Sikia nina kisirani niachee
Ushauri wangu muwahi huyo kijana kuongea nae kwa busara mpe full picture ajuwe anakuwa na uamuzi gani juu yenu.Daah kichwa inauma aisee mimi amenikwaza
Hahaha Kuna Watu wamenyamaza sio wasimuliaji wanaumia kimyakimya hivi nikiwa namba 1 Yule dada ali trend kidampa atakuwa namba ngapi.. na Mimi sijawahi kupigwa tukio ni najiongezaga tuIla wewe dada unaweza kushika namba moja kwa watu wanaoteswa na mapenzi duniani.
Sawa nitajaribuUshauri wangu muwahi huyo kijana kuongea nae kwa busara mpe full picture ajuwe anakuwa na uamuzi gani juu yenu.
Kuachwa kunaumaMkuu unateseka na nn?
Kijana unae ila unawasi wasi wa kuachwa?
itakua mara ya kwanza?
hebu njoo bq uchukue barimi zako 2 hapa akili ikae sawa
Kwani ni lazima kuwa na mazoea na boss wako kiasi kwamba ukiwa bize anakuja kumpeleka mpenzi wako mahali bila wewe kuwepo?Kijana ataachaje mazoea wakati ni bosi wake