Bongo movies, kuni zimetoka porini zimefungwa kwa kamba za nailon, amesuka rsta, viatu alivyovaa vya posta, hahahahh!
Nipeni namba yake
Mbona kawaida tu, kijijini kwetu mbona warembo wengi tu tena zaidi ya huyu.
Mbona kawaida tu, kijijini kwetu mbona warembo wengi tu tena zaidi ya huyu.
GIUSEPPE;
Urembo wa mtu ni nini haswa? Waweza kuta uso hautambuliki ka jike au dume. Miguu yenyewe "milonjo" saa hapo umeona nini cha urembo hapo? Hata huko kijiji hakuna aliyeweza kumwangalia mchana labda usiku wa giza kwani paka wote huwaga weusi
Yes nimekuelewa, sie twazungumzia mwonekano tunao uona, wanasemaga thamani ya kondoo mkia, na huyu nae alhamdulilah sio kakosa kiviiiiiile.GIUSEPPE;
Urembo wa mtu ni nini haswa? Waweza kuta uso hautambuliki ka jike au dume. Miguu yenyewe "milonjo" saa hapo umeona nini cha urembo hapo? Hata huko kijiji hakuna aliyeweza kumwangalia mchana labda usiku wa giza kwani paka wote huwaga weusi
nahisi ni photoshopu
Yes nimekuelewa, sie twazungumzia mwonekano tunao uona, wanasemaga thamani ya kondoo mkia, na huyu nae alhamdulilah sio kakosa kiviiiiiile.
Kwanini? Ungesema mzigo wa nyuma na mzigo wa kuni havikubaliani ningekuelewaMavazi na mzigo wa kuni havikubaliani.