Huyu James Mfugale anaetafutwa mitandaoni kafanyaje?

Kitabu ukikisoma ndipo utaelewa kilichopo ndani yake ,upole na wizi havina uhusiano wowote
 
Mkuu John Mfugale yupi tena?
Maana mimi John Mfugale ninayemjua ni mtoto wa kishua kishenzi,
Dingi yake alishawahi kuwa kigogo wa Idara ya maji.
Wana na undugu na yule Mfugale wa Peacock,
 
Isije ikawa mleta mada ndo John Mfugale mwenyewe

Habari yako mleta mada
 
Weka picha yawekana kunadonge nono kwa atakae mfichua alipo.kitaa kunawatu wapya walikuja ckukuu.
 
Nimesikia kwenye habari za biashara clouds leo wakulima huko Masasi wameunda tume yao kwenda kumuona rais na mkulima mmoja alikuwa akiwalaumu viongozi wanaowazibia. Anasema nao wanataka wauze korosho zao waweze kuwasomesha wototo wao ili nao waje waibe kama watendaji wa sasa.
Hiyo kauli imenistua sana lakini kiuhalisia inabeba maana halisi ya jinsi mwananchi wa kawaida anavyowaangalia wasomi kwa hivi sasa. Hivyo tusioelewa tuendelee kujidanganya kwa kudhani kuwa wezi ni wale wanaovaa nguo chafuchafu!
Mkuu John Mfugale yupi tena?
Maana mimi John Mfugale ninayemjua ni mtoto wa kishua kishenzi,
Dingi yake alishawahi kuwa kigogo wa Idara ya maji.
 

Haaaahaaaa,
Mkuu Lukindo kwa hiyo John Mfugale ndiyo mhusika wa hiyo mishe?
Daaaaah huyu John amekutwa na nini tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…