Makubwa Kuna Sura Maalum Za Wezi Ngoja Siku Wakulize Huta Kaa UaminiNIMEONA PICHA MOJA YA JAMAA MSTAARABU ANA RB YA POLISI
JAMAA WANAMTAFUTA KWA TUHUMA ZA WIZI.. SASA NAJIULIZA WIZI UPI JAMANI MBONA KIJANA HATA HAAFANANIII
Mpwa sura sio roho!
....hahahahaha...mwenyewe nakushangaa wewe mkuda;Wewe mgoroko umevuka mwaka?
Mkuu John Mfugale yupi tena?
Maana mimi John Mfugale ninayemjua ni mtoto wa kishua kishenzi,
Dingi yake alishawahi kuwa kigogo wa Idara ya maji.
Nimesikia kwenye habari za biashara clouds leo mkulima mmoja huko Masasi akiwalaumu viongozi wanaowazibia. Anasema nao wanataka wauze korosho zao ili waweze kuwasomesha wototo wao nao waje waibe.
Hiuyo kauli imenistua sana lakini kiuhalisia inabeba maana halisi ya jinsi mwananchi wa kawaida anavyowaangalia wasomi kwa hivi sasa. Hivyo tusioelewa tuendelee kujidanganya kwa kudhani kuwa wezi ni wale wanaovaa nguo chafuchafu!
....hahahahaha...mwenyewe nakushangaa wewe mkuda;
..kweli Mungu wa ajabu aisee!