Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Washawasha na NALOG OFF zake kwa kweli ni kama kichekesho fulani.
Akimaliza kuongeaaaaaaa NALOG OFF
Akimaliza kusomaaaaaaa NALOG OFF
Nadhan katika hali ya kawaida huwa anafanya hivyo, kama vile
Akienda kulala usingizi ukimjilia tu Nalog off
Akiamka asubuhi Nalog off (Usingizi)
Akimaliza kupiga mswaki Nalog off
Akimaliza kunywa chai Nalog off
Akimaliza kujitayarisha kwaajili ya mtoko Nalog off
Kila mahali NALOG OFF
Huyo ndo Washawasha a.k.a NALOG OFF!