General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Kila nikiangalia hii picha huwa nakosa Majibu,
Jamaa alikosa nini?
Ilikuaje?
Jamaa alikosa nini?
Ilikuaje?
Umenichekesha sana mamii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kawaida yao mashetani walimvamia
hao wote wanajuta kwasababu namba zimeshasomwa kotekote
Hahahaha... huyo mzee na tofali alitaka kumaliza kabisa.... lakini huyo CDM alipona kweli??
Duh! nimecheka sanaaaaaaa,ijapo nipo peke angu room, et kumunyonya damuu!hatariiAlipita karibu na mkutano wa hao mashetani ndio wakataka kumnyonya damu.