Huyu Jamaa wa Chadema alikosa nini?

Huyu Jamaa wa Chadema alikosa nini?

Huyo mwenye bahasha anavorusha jiwe mbona kama sio ridhiki vileee
 
Alipita karibu na mkutano wa hao mashetani ndio wakataka kumnyonya damu.
Kijana sio vizuri kuwabandika wenzio majina yasiyowahusu na yenye mwelekeo wa kuwadharau. Hao sio mashetani bali jina lao halisi ni MUUMIANI
 
Hivi hii ni real!?? Nilifikiria imetengenezwa tu lohh, siasa za Afrika kweli ny.ko.
Ni real na ilitokea Dodoma baada ya CCM kushusha bendera ya CDM kwa madai iko karibu na uwanja waliokuwa wanafanyia mkutano. Huyo wa CDM na wenzake wakadhani nao ni Watanzania wakaenda kuipandisha tena, hapo ndipo walipopata walichokitafuta kwani hata mlingoti uling'olewa.
 
Dahh! Siasa sio uadui kiasi hiki, kuna maisha baada ya hapo, kuna haja ya elimu kubwa sana kwa wananchi na wanasiasa hovyo ili waelewe demokrasia ni nini haswa! Hii picha inaleta ukakasi mkubwa juu ya uelewa wa dekrosasia na siasa kwa ujumla. Bado safari ni ndefu sana.
 
Huyo mwenye nyekundu ameachama kama mamba kaona msosi!Ila aliepiga hii picha nampa credit popote alipo ![emoji111][emoji111]
 
Li photoshop hilo wewe kijana mdogo!
 
Back
Top Bottom