Huyu Jamaa Vipi?

Huyu Jamaa Vipi?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
article-2340598-1A48DBFE000005DC-696_636x422.jpg
 
Kwa kweli nilishindw kumuelewa but at least nimekusoma now i know why he is doing that!!! dah..akili mukichwa aisee...

bado anakula kwa shida mie ningekuwa na kikopo changu from home kinakaa mfukoni kodogooo bosi akienda chooni tuu naweka nakula fasta narudisha ila hiyo style ya jamaa meno na ulimi vinaweza kufa ganzi looh
 
Back
Top Bottom