Hapo ni zaidi ya nusu tani ya uzito, tairi halijabonyea kulingana na mzigo, anaeendesha kaanzaanzaje kuendesha, Center of Gravity iko juu mno na kusababisha ugumu wa balancing ya pikipiki, huyo alie juu kapandapandaje.... Maswali ni mengi kwa physics hii ya kawaida... labda ile ya kiafrika...