Huyu jamaa sijamuelewa!!!!!!

Huyu jamaa sijamuelewa!!!!!!

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
 
Ungemuuliza!au kama vipi ungempitisha kitaa chetu,tumsachi kama anahela za kutosha.
 
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !

What this !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom