Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Ndiyo,ni huyu mkuu wa mkoa wa wenye pilikapilika nyingi.Jiji lenye bandari iliyo salama.Kwangu mm ni muuza sura tu.
Kiongozi gani bora hutumia mda mwingi kujionyesha kwenye vyombo vya habari?!
Kiongozi yupi mwenye uchungu na wananchi wake km anavyotuamisha anatumia madaraka yake kuonea na kusingizia watu mambo mabaya na huku hana ushuhuda kwalo?!
Kiongozi gani huyu mpenda visasi?!
Kiongozi gani huyu aliyejawa na majigambo na kiburi kisicho na kiwango?!
Binafsi,simkubali na haitokea nishawishike eti huyo mtu ni kiongozi mzuri!Kiongozi mwema na mzuri si mwenye SIFA na mambo hayo niliyoyaainisha hapo juu.Hana SIFA ya kuwa mpenda sifa km huyo.
Maradhi hayafichiki na limbukeni hujidhihili tu hata km atajifanya siye mwisho wa siku hudhihili tu.
Jioni njema.