Huyu jamaa kiboko😁😁

Akirudi tanzania anakamatwa anaenda kupimwa mkojo kisha anasomewa mashtaka
 
Sio lazima, mipaka mingine ni mistari tu mfano Belgium na Holland
 
Hata mm huwa najua ipo hivyo halafu nadhan ni meter 10 sikosei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo la kawaida hiyo kwa nchi zote duniani kuwa na nyumba katika mstari wa mpaka


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hii ni chai tena kavu bila vitafunio.. ☹️[emoji34]
 
Ukaanze kupambana mtu anayeishi humo si unyanyasaji huu
 
Ni jambo la kawaida hili mkuu? Kwa kufananisha na wapi labda?
Mipaka mingi watu huwa wanajenga bila kujua ni mpaka
Nilikuwa napiga routes za France kikazi nikawa nakatisha Belgium yaani huoni utofauti kati yao kabisa maana hata police hamna na taa huwezi kujua ipi ni ya france

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…