Huyu jamaa kiboko😁😁

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,227
Reaction score
40,718
HAPO SASA!

Hiyo nyumba ipo wilayani Mkinga (Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Nusu ya nyumba (chumba kimoja) ipo Kenya (upande aliosimama Naibu Waziri Fedha Dkt. Ashuta) na nusu nyingine (chumba kimoja) ipo Tanzania (aliposimama Naibu Waziri Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya anatafuna na askari wa bongo hawamfanyi kitu
 
kwahiyo mpaka unaotenganisha bongo na kenya ni nini hapo?
 
kwahiyo mpaka unaotenganisha bongo na kenya ni nini hapo?
Sijaelewa mipaka huwa na eneo wazi la No man's land hapo imekuwaje? Mpaka kati ya nchi na nchi kuna eneo linakuwa wazi ambalo hata mkianza Vita majeshi yanayowaamulia waweza kaa hapo katikati kwenye eneo la No man"s land kuwadhibiti wa huku usije huku .Ina maana hapo hakuna eneo la No man:s land? ina maana huyo kajenga eneo hilo ambalo halitakiwi kujengwa au ni viipi.? Wataalamu wa wizara ya ardhi kitengo cha upimaji na ramani jibuni hili.
 
Panafaa kufanya ziara... Moshi je! Ruksa pia?

Jr[emoji769]
 
Nadhani hapatakiwi kujengwa nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…