Huyu jamaa kapigwa na radi

Huyu jamaa kapigwa na radi

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,819
Reaction score
5,819
Jionee live picture ya Mtu aliyepigwa na radiupdt: picha hii ni ya waka 1920 . inasemekana huyu mdau alipasuliwa makanyagio yake yote yapipasuliwa vibaya.(the botton of his feet were brown off)
attachment.php
 

Attachments

  • lightning.jpg
    lightning.jpg
    59.4 KB · Views: 1,692
Aliyekuwa chini yake alitoka salama kweli au naye ilimpata hiyo radi maana naona hatari tupu
 
Haya mauzauza ya tekinolojia mi mshanivuruga, sasa hiyo radi ndio imempandisha blauz yake juu kama alikuwa anakameruniwa?
 
alikufa au? mbona naona kama manyoya kwenye makalio?
 
Back
Top Bottom