Huyu jamaa kapigwa na radi

Huyu jamaa kapigwa na radi

nasikia ukishuka sumbawanga stand enzi hizo pamoja na wauza karanga, utakutana na wabibi wakiuza radi. bei maelewano ukitegemea na aina ya maangamizi ambayo ungependa. ya kweli haya jamani???
 
Back
Top Bottom