Huyu jamaa kaniacha hoi

Huyu jamaa kaniacha hoi

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,024
Reaction score
638
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia
 
Acha zarau wewe na ye ndio maisha aliyopangiwa kuishi hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Hahaha, leo ni siku njema wallah!
hivi mwamvuli unauzwa sh ngapi?
 
Nafikiri kipato chake anachopata kupitia hiyo miamvuli kinakidhi mahitaji yake. So muache tu na maisha yake as long as hatuombi hela ya kula au chochote. Siku akiona hiyo kazi haimpi chochote basi jua tu atatafuta kitu kingine cha kufanya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Usalama wameingiaje kwenye miamvuli kama SI kudanganyana kitoto
 
Uswazi atapata wateja mkuu..uswazi watu wanashona yebo yebo na ndala ndo iwe mwamvuli...
 
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia

Pole ubongo wako umeishia hapo kufikiri, kuna kitu kinaitwa fursa.
 
maisha ni hatari sana,, nauchukia
sana umaskini , eti hapa mjini mtu
kamua awe fundi mianvuli kweli
fundi mianvuli jamani huo
mwanvuli unauzwa tsh ngapi,,
mpaka uharibike ni lini na hiki
kiangazi nanii atakumbuka habari
za mianvuli,, aiseee sijawahi
mdharau maskini mwenzangu zaidi
ya kumhurumia

rejea vitabu vya dini hata Yesu alisema tafuten kwanza ufalme wa mbingu mengne yote mtapaaa kwa ziada.
Angalien ndege wa angan hawana mikono na hawafanyi kaz yoyote lakn wanakula na kulala.
Sembuse ww binadamu mwenye utashi?
Huyo mshona mwamvuli anakula analala na anasomesha. Usidharau kazi omba maarifa na hekima
 
Amewai kukuomba ela? Unajua maisha yake yakoje adi umhurumie?? Unajua kipato chake kwa siku? Unajua wewe ndo wa kuhurumia maana umekariri njia moja ya kutafta maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom