Huyu jamaa atakuwa kabila gani?...

Huyu jamaa atakuwa kabila gani?...

IamError_D

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
441
Reaction score
117
Jana jumapili jioni alisikika MHAYA mmoja pale
leaders akiongea kwa sauti na dereva wake
katika
mbinu zake za kupata totoz akimwambia,
"Aise dreva wangu, hebu nenda kwenye nyumba
yangu ile nyekundu, siyo ile ya Bunju, wala sio
ile ya
Kunduchi, ila ile ya Masaki.... Lakini usiende ile
ya
Chole Road, wala ile ya Msasani Road, nenda ile
ya
Kenyatta Drive!!!
Fungua geti lile jeusi la chuma , tumia rimoti
usifungue vingine.... Ukiingia utakuta VX yangu,
achana na hiyo angalia ile Benz ya Bluu ambayo
pembeni yake kuna BMW... Sasa pembeni
kidogo
utaona HUMMER NYEUSI, fungua buti, utakuta
mabegi
ya hela kuna moja lina EURO acha hilo, wala
usichukue yale yenye POUND.....
Fungua moja kati ya yale yenye noti za dola mia
mia,
utakuta funguo za mabriefcase yangu ambayo
yako
ndani.... Ukishachukua funguo nenda mpaka
ghorofa
la 3, ingia chumba anacholala mbwa wangu
yule
KOKU ambacho ni kile chumba cha pili, acha kile
ambacho zamani walikuwa wanalala PAKA...
Ila plzzzz, ukifika gonga mara tatu kama mbwa
wangu koku atakuwa hajalala ingia chumba cha
pili
ambacho wanacholala watoto wake... Angalia
vizuri
coz kinafanana na cha mama yao ambacho
ukiingia
chini ya ile plazima TV utakuta meza ina decoda
na
playstation 3, sasa kwa pembeni utaona
briefcase 3,
moja lina noti za elfu 5 5, la pili lina noti za elfu
10 10
na la tatu lina elfu 2 2... Chukua sasa noti za
elfu
kumi kumi kana laki tano....
Ila hakikisha wale watoto wa mbwa
wanabugger za
kutosha kitandani kwao kabla hujatoka.... Then
ukishachukua naomba ukaninunulie chupa 3 za
maji
pale kiwandani COCA COLA KWANZA uniletee...
Sawa!?!?"
 
Unacopy yangu ya leo na kupaste humu humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom