exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,395
- 4,152
Ndo uyo uyo anajifanya kanumba[emoji1787][emoji1787][emoji23]Huyu ng'ombe niwewahi kumwona FB anahadaa wanawake au nakosea.
Mnatukana leo kisa mod ni mmoja eeh??Huyu ng'ombe niwewahi kumwona FB anahadaa wanawake au nakosea.
Upande wa kike tunasemaga parody sasa kwa kiume ndo sijui bwashee
Muuuza tigo mitaa ya Kino huyu
Hahaha kwa iyo baada ya kupata kiki facebook umeamua kuja na jf bwana brighton ? Ili upate jina au sio[emoji1787][emoji1787]
Yess bishoo hasWaaaa
Sio pancho boy kweli huyu?
Limoyo lako limemndokea nini?
Huyu ng'ombe niwewahi kumwona FB anahadaa wanawake au nakosea.
Mfate pm ukamuulize.
😂😂Wanawake bana.
Kwa hiyo ndiyo unamtafuta kwasababu unahisi ana pesa sana??
Unaweza kukuta ni yeye mwenyewe anajipa promo.😂😂Wanawake bana.
Pesa wapi watu aanaekti maisha ukijichanganya inakula kwako
Pesa wapi watu aanaekti maisha ukijichanganya inakula kwako
Yess bishoo hasWaaaa