mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,761
- 22,258
Yani ilo sura ukute linamabonde bonde..mwanaume kuedit picha hata hainogi ptuu
Anaye mfahamu ndie aliye pakua picha zake tuanzie hapo kwanza
😳😳😂😂😂😂Minguo ya rangi rangi utadhani muimba kwaya wa Efatha.
Naona ameamua kutoka kwa njia hiyo.Jina na anaishi wapi maana namuona mitandaoni maisha yake ya bei kal
Sent using Jamii Forums mobile app