huyu jamaa anaambiwa nini

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
C9jB10IXcAAtXsy.jpg
 
Babu hajui kusoma, anamuimba dogo amsaidie kuandka urithi

AU

Dogo anapewa maneno ya kuandka kwenye barua ya posa
 
Anamwambia ... Kamweleze bibi yako leo sitalala nyumbani leo nakwenda kijiji cha mbali.. Kumbe anakadumu
 
Anamwambia Mjukuu wangu mimi umri umeenda na niliyoyafanya hapa Duniani Mungu anisamehe tu Andika hapo nikuachie mikoba yangu
 
Tu kifika kwa Headmaster ntazuga mzazi wako afu ntakutia mikwara sawa...?? Naona ni shule hapo madent kwa mbaaali
 
Back
Top Bottom