Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
- Thread starter
- #21
Habari bandugu,
Naomba niwape update
Huyu mama alinipigia tena simu siku ya pili yake asubuhi akiwa mpole sana kama maji ya mtungini. Sauti ni ilele na namba ilele nili save.
Safari hii alianza kwa kulalamika eti mimi simu yangu ameitafuta sana haipatikani, nikamjibu kwamba muda wote ipo ON na haijazimwa. Akanieleza kwa utaratiibu na ufasaha mpango mzima.
Nikaona inawezekana jana yake walikuwa wamenzingua huko kazini kwao :happy: