Wanawake kwa kudeka ni balaa, hapo kama jamaa anajua kubembeleza ndo kabisaaa katadeka hapo
Chezea kudeka weee na kujilegeza juu
Wanawake kwa kudeka ni balaa, hapo kama jamaa anajua kubembeleza ndo kabisaaa katadeka hapo
Umeona eeh? Raha ya kudeka umpate anayejjua kubembeleza bwana lol. Ila kuna wanaume wadekaji pia
Kama nakuona vile...sijui nianze kubembeleza?
Nibembeleze bwana....nna siku nyingi sijabembelezwa u know
Hapa kuku wengi nakuja uani