Mwaga evidence nasi tupate madinihili likobaz la tigo sifa zake sio nzuri kabisaaa....limewatoboa wengii spikaa kwenye madrassaa
Kafanana copyright na YASHassanein Hiridjee Ndio jina lake Yeye ni mmiliki wa Axian Group ambayo inamiliki Axian Telecom yenye makao yake nchini madagascar mwaka 2022 kampuni ya axian Telecom ilinunua hisa za Tigo na zantel kutoka kwa Millcom. Lakini pia mtanzania Rostam azizi ana hisa katika Axian Telecom. Kumekuwa na mkakati endelevu kwa kuibadilisha jina toka Tigo kuja kuwa Yas na huu ni mkakati wa mitandao yote wanayi miliki hapa africa kuwa ni Pan african itakuwa kitu kimoja.
USSRView attachment 3165901z
Kwamba jamaa ni lijenzi huruhili likobaz la tigo sifa zake sio nzuri kabisaaa....limewatoboa wengii spikaa kwenye madrassaa
Ndio yale yanayomchukia mpaka leo π πππ€¦π½ββοΈMajizi Yapo Hata CCM
By Mzilankende
Hili nalo nenoKwa hiyo Tundu Lisu anaishitaki Tigo isiyokuwepo au siyo??
Awaambie Tigo waache tabia ya kutoa siri za wateja wao!Hassanein Hiridjee Ndio jina lake Yeye ni mmiliki wa Axian Group ambayo inamiliki Axian Telecom yenye makao yake nchini madagascar mwaka 2022 kampuni ya axian Telecom ilinunua hisa za Tigo na zantel kutoka kwa Millcom. Lakini pia mtanzania Rostam azizi ana hisa katika Axian Telecom. Kumekuwa na mkakati endelevu kwa kuibadilisha jina toka Tigo kuja kuwa Yas na huu ni mkakati wa mitandao yote wanayi miliki hapa africa kuwa ni Pan african itakuwa kitu kimoja.
USSRView attachment 3165901z