Huyu dr yuko sahihi?

Huyu dr yuko sahihi?

Yan hii hosp sijui ipoje kun siku nilielez ich ich nikapimwa,maralia na,Hb nikaondok kimy kimy,ata vipimo sikulipa! Nikaon ujinga hata kama,cijasom picha inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kad tu elf,tatu kun hosp nilipimwa x ray ila huyu dr leo,kagoma kaniambia,kifua hakipimw x ray mapaf,tu ndo yanapimwa x,ray itakuw,xhida nyingin tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kichwa kinakufa ganzi??? au sijasoma vizuri
 
Kichwa kinakufa ganzi mgongo kuwaka moto na kifua kuwaka moto amenipa B complex,tu na,amox

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna muda ni gesi ikizidi unaweza kuumwa magonjwa ukahisi una tatizo kubwa mno kuna kipindi nilikosa nguvu kwenye joints,mapigo ya moyo kuwa kasi sana na kuchoka mno nikakutana na dokta akanueleza kuwa gesi ikizidi mwilini huweza kua na madhara makubwa tofauti na tunavyowaza pengine gesi imezidi mwilini.
 
Ikizidi gas unaiondoaje?
 
Back
Top Bottom