ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,707
- 39,184
Hivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavu