Kiongozi wa nchi awe na uwezo wa kutatua mambo anayoyaona miaka 100 mbele leo hii,
Bishop Mpemba ana tahadharisha kuwa hivyo viongozi wawe makini na maamuzi ya leo watakayo aamua, kwani yana maana kubwa ktk mstakabali wa nchi miaka 100 ijayo. Kiongozi wa nchi ni tofauti na kiongozi wa familia ...
Source : Bishop Augustine Mpemba.
Mfano :
Rejea mradi wa mchanga wa thamani wa Kigamboni
MRADI WA MCHANGA WA THAMANI (MAKINIKIA), FUNGONI KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Madini ya mchanga wa Fungoni Kigamboni Dar es Salaam Tanzania yataisha katika muda wa miaka 6 tu Read more : Projects | Strandline Resources Limited na watafungasha virago kuondoka na mashine zao ambazo ni za muondo wa kuhamishika waende kuendelea na shughuli kama hiyo mahali pengine. Je wawekezaji hawa watakuwa wametuachaje waTanzania na wakaazi wa Kigamboni ?