Nipe namba...hii dunia ya kijitali...zinaingia chapchap....but only terms and conditions apply....;nini pm, naomba laki tano dia nna shida........!!!!!!!
tena namalizia na i love u.
Kwani hujajua kwamba nyie ni atm zetu??!!mnamo siku ya ijumaa nilikuwa safarini kutoka mkoani Iringa kuja jijini Dar es salaam nilipanda bus liitwalo upendo nyuma yangu kuna mdada alikuwa amekaa,tulivyofika maeneo ya chalinze ndo vvituko vilipoanza............mchuchu huyo aliwapigia simu kama wanaume 7 hivi akiwapiga mizinga ya kwamba leo ndo anarudi na ana mizigo mingi sana atashindwa jinsi ya kuibeba so anaomba atumiwe hela.Cha kushangaza kwa mdada huyo ambaye alikuwa anaongea kwa sauti kubwa ni pale alivyokuwa anadanganyaa mwingine anamwambia ana mchele ndoo moja,mwingine ndoo tano,mwingine mpunga gunia,mara mpunga ndoo 2 nk kwa mujibu wa mazungumzo yake alifanikiwa kupata buku sita tu.ilibidi nifanye juu chini nione ana mizigo gani??????dah cha ajabu ni kibegi chake kidogo na mfuko aina ya Rambo.Nilichogundua huyu mdada anatufanya sisi wanaume ni kama kitega uchumi,,kina dada acheni hizo...........
napiga hesabu hao saba anawamudu vipi hahaa!kazi kweli ipo dada angu tena si ya kitoto!!
Mbona kama fix? Ni mazungumzo gani yaliyokufanya kujua kuwa aliambulia buku sita tu?
Huoni tatizo hapo kwan?!
Takriban wanaume saba wamepigwa mzinga, wakatoa jumla ya shilingi elfu sita!
Hivyo kwa wastan kila mmoja katoa kwa makadirio ya juu shilingi 857/=
Hadi kifikia hapo nakua bado sijaona kwa nini umeleta huu uzi!!
Tangu lini uliona mtu ana-specialize atm? Leo unaweza ukadraw ya Ubungo, kesho ukadraw ya Manzese, kesho kutwa ya mwenge n.k.atm kwa mmoja sawa lakin na ninyi mbona sio waaminifu??
machangudoa wa mwananyamala au uwanja wa fisi wanalala na wanaume wangapi kwa siku?
bora angekua na mmoja
wa maana kuliko hao saba
wachovu heheee,kazi ipo
kwa kweli sijawahi kufanya uchunguzi!
Huoni tatizo hapo kwan?!
Takriban wanaume saba wamepigwa mzinga, wakatoa jumla ya shilingi elfu sita!
Hivyo kwa wastan kila mmoja katoa kwa makadirio ya juu shilingi 857/=
Hadi kifikia hapo nakua bado sijaona kwa nini umeleta huu uzi!!
mnamo siku ya ijumaa nilikuwa safarini kutoka mkoani Iringa kuja jijini Dar es salaam nilipanda bus liitwalo upendo nyuma yangu kuna mdada alikuwa amekaa,tulivyofika maeneo ya chalinze ndo vvituko vilipoanza............mchuchu huyo aliwapigia simu kama wanaume 7 hivi akiwapiga mizinga ya kwamba leo ndo anarudi na ana mizigo mingi sana atashindwa jinsi ya kuibeba so anaomba atumiwe hela.Cha kushangaza kwa mdada huyo ambaye alikuwa anaongea kwa sauti kubwa ni pale alivyokuwa anadanganyaa mwingine anamwambia ana mchele ndoo moja,mwingine ndoo tano,mwingine mpunga gunia,mara mpunga ndoo 2 nk kwa mujibu wa mazungumzo yake alifanikiwa kupata buku sita tu.ilibidi nifanye juu chini nione ana mizigo gani??????dah cha ajabu ni kibegi chake kidogo na mfuko aina ya Rambo.Nilichogundua huyu mdada anatufanya sisi wanaume ni kama kitega uchumi,,kina dada acheni hizo...........
Anahitaji kuongeza wengine japo 50 ifike laki
​duuuuh!!we nawe utakua mteja wao nahisi!!m nlifanya kauchunguz kidogo mfano changudoa anaishi uwanja wa fisi au mwananyamala,an geto lake men anaingia anapga anatembea,anaweza akapata wateja kma kumi hivi during daytime,ikifika usiku anaenda corner bar hko anaweza akapata wateja almost wa5.kwa hyo kwa siku ni kama 15.