Huyu demu kazidi mizinga::::

Huyu demu kazidi mizinga::::

Tangu lini uliona mtu ana-specialize atm? Leo unaweza ukadraw ya Ubungo, kesho ukadraw ya Manzese, kesho kutwa ya mwenge n.k.
Binti.com kesho njoo u-draw yangu ya kigamboni!!!! ila hakikisha una visa card...
 
Last edited by a moderator:
Hiv mabasi ya Upendo ndo yale yanayotoka mkoa wa Njombe huko nyanda za juu kusin? Kama ndiyo basi kastahili kupokea hicho alichokipata.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wanaume kuwa makini na baadhi ya simu! Ukiona simu inatoka kwa nyumba ndogo usikimbilie kupokea, jipange kwanza ili ujue namna ya kupangua bomu la "dear unajua hapa nilipo tumbo linaumaa na hata sina hela ya kununulia dawa.....", wadada jamani..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom