Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za baridi. Tulivyomuona tukamuagizia kinywaji na haraka sana aliagiza kama ifuatavyo
1. Amarula double Tshs 10,000
2. Gordons double Tshs 10,000
3. Zappa double 2 Tshs 20,000
Jumla round yake Tshs 40,000 na haraka haraka alikamua round tatu.
Mimi naomba kuuliza nyie madada hivi ukifanya hivyo huwa unakuwa una maana gani? Je wanaume wakikumega na kukimbia utasema wabaya? Acheni kujiweka class zisizo zenu!!! Kama unaweza kunywa kinywaji kama hichi akikisha na wewe unapiga round na siyo umebeba shs alfu kumi tena umeifunga kwenye handkerchief
Nawakilisha