Huyu demu hafai kabisa

Huyu demu hafai kabisa

Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za baridi. Tulivyomuona tukamuagizia kinywaji na haraka sana aliagiza kama ifuatavyo

1. Amarula double Tshs 10,000
2. Gordons double Tshs 10,000
3. Zappa double 2 Tshs 20,000

Jumla round yake Tshs 40,000 na haraka haraka alikamua round tatu.

Mimi naomba kuuliza nyie madada hivi ukifanya hivyo huwa unakuwa una maana gani? Je wanaume wakikumega na kukimbia utasema wabaya? Acheni kujiweka class zisizo zenu!!! Kama unaweza kunywa kinywaji kama hichi akikisha na wewe unapiga round na siyo umebeba shs alfu kumi tena umeifunga kwenye handkerchief

Nawakilisha

First things first:

1. Hajawaomba drink... thus she is at liberty of drinking whatever. With no limitations. Furthermore have you considered that is what she usually drinks?
2. What makes you think buying a woman a drink or two or even ten gives you the gate pass to lay her?
3. Next time, please jaribu kunywa wanakouza gongo.
4.Teh teh teeeeeeee. Namalizia na pole.
 
Najaribu kuitafuta sababu yako ya kulalamika nashindwa kuiona

Najaribu kiona sababu ya huyo "demu" kufanya hayo nayo nashindwa kuiona

Kwa kifupi naona kama nyie wote mna makosa
Halafu nawaona kama wote hamna makosa pia!
 
First things first:

1. Hajawaomba drink... thus she is at liberty of drinking whatever. With no limitations. Furthermore have you considered that is what she usually drinks?
2. What makes you think buying a woman a drink or two or even ten gives you the gate pass to lay her?
3. Next time, please jaribu kunywa wanakouza gongo.
4.Teh teh teeeeeeee. Namalizia na pole.

Ok
Uko sahihi

Lakini

Ni kwanini na huyo dem afanye hivyo?
 
mimi shida yangu kwanini ajiweke level ambayo si yake??? Yeye akiwa mwenyewe anagonga kili ya moto halafu akipata bwerere ndo anafanya hivyo, si tabia mzuri kabisa yani na ndo maana mademu kama hao huwa hawaolewagi kabisa ndugu zangu

mbona unalalama sana? Ulitumwa?
 
i know...but etiquette for ladies only

mapashkuna kama hili unaenda nao ki bad boy zaidi lol

My bad. Nilikurupuka nilikuwa sijaona akiwa alone anapiga Kili ya moto. Mkuu Eiyer, now I see your point too. Well
thats bullshit. I always insist on being yourself to the best of your ability and the culprit was pretending.
 
Last edited by a moderator:
Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za baridi. Tulivyomuona tukamuagizia kinywaji na haraka sana aliagiza kama ifuatavyo

1. Amarula double Tshs 10,000
2. Gordons double Tshs 10,000
3. Zappa double 2 Tshs 20,000

Jumla round yake Tshs 40,000 na haraka haraka alikamua round tatu.

Mimi naomba kuuliza nyie madada hivi ukifanya hivyo huwa unakuwa una maana gani? Je wanaume wakikumega na kukimbia utasema wabaya? Acheni kujiweka class zisizo zenu!!! Kama unaweza kunywa kinywaji kama hichi akikisha na wewe unapiga round na siyo umebeba shs alfu kumi tena umeifunga kwenye handkerchief

Nawakilisha

Hahahaaaa.... Naomba fanta bariiiiiidi..............
 
Valium ni kiungo makini kwa watu km hao!
 
My bad. Nilikurupuka nilikuwa sijaona akiwa alone anapiga Kili ya moto. Mkuu Eiyer, now I see your point too. Well
thats bullshit. I always insist on being yourself to the best of your ability and the culprit was pretending.

Unless waliomnunulia wana uhakika kuwa huwa hanywi alichoagiza!!!!!
Say alikuwa na hamu ya hiyo makitu ila uwezo siku hiyo haukuwa poa,mara imeingia ofa with no limits naye akaamua kutumia ile aliyomiss sasa hapo analaumiwa nini jamani????!!!!

Mi naona yuko sawa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
My bad. Nilikurupuka nilikuwa sijaona akiwa alone anapiga Kili ya moto. Mkuu Eiyer, now I see your point too. Well
thats bullshit. I always insist on being yourself to the best of your ability and the culprit was pretending.

Well,well,well,well!!!!!!!!!!!
 
Have you considered kuwa hicho ni kinywaji chake cha siku zote?

Hebu fikiria tu kwamba wewe una uwezo wa kula sahani mbili za wali

Umekaribishwa lunch nz rafiki yako

Utaagiza sahani mbili za wali?

If not,why?
 
kooma wangu mpaka kieleweke..!? cku hakikupa gemu nawe c unaagiza 2 nipe tigo,nipe voda,nipe airtel..eeeeeh 2tunachunana kimjini mjini na tuna.......ndua kimjinimjini...!?ha ha ha ha naomba tigo mama.......ya buku nijiunge.
 
Nahisi Nduka Original anafahamiana na huyo Shori, ndio maana anajua hata anakofanyia kazi, so haikua mbaya kumpatia kinywaji. Ila Dem aliamua kumkomoa jamaa. Jamani kina dada mkipewa lift msipige na honi.
 
Huo ulikuwa ushamba wako,nani alikuambia ujifanye mkristo kuliko papa kwa kujidai mkarimu mpaka kwa watu ambao huwajui? Tena ningemuona ningemshauri akuambie umnunulie na vocha,na chakula na tax umkodishie ili ukome kujifanya mcheshi kwa strangers
 
. Tulivyomuona tukamuagizia kinywaji na haraka sana[COLOR=#0000ff said:
aliagiza kama ifuatavyo

1. Amarula double Tshs 10,000
2. Gordons double Tshs 10,000
3. Zappa double 2 Tshs 20,000
[/COLOR]

Jumla round yake Tshs 40,000 na haraka haraka alikamua round tatu.
HATAREEEEEEEEE
gordons.jpg
amarula.th.png
Zappa.jpg
 
Back
Top Bottom