Huyu demu hafai kabisa

Huyu demu hafai kabisa

mbona hivi vinywaji havina uwiano anachanganya changanya tu... we ukiona umemtoa demu akaanza na fanta badae castle light huyo mtoroke kabisa....... me ningekuwa ni wewe namtoroka....
 
hahahaaaaaa!!alitaka kukukomoa tu
kwani alikuomba?msione wadada bar
wanakuja na pesa zao jamani,ukijipendekeza lazima
akunywe coz umetaka!!
 
Siku nyingine tafuta size yako na hata offer toa kwa kiwango chako..
 
Mimi shida yangu kwanini ajiweke level ambayo si yake??? Yeye akiwa mwenyewe anagonga Kili ya moto halafu akipata bwerere ndo anafanya hivyo, si tabia mzuri kabisa yani na ndo maana mademu kama hao huwa hawaolewagi kabisa ndugu zangu

Hiyo ni njia ya kukwambia kuwa tusipende kujipendekeza kwa wadada,alitaka kukukomoa tu ili usipapatikie kutoa ofa ovyo hata bila kuombwa kisa dada
 
Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za baridi. Tulivyomuona tukamuagizia kinywaji na haraka sana aliagiza kama ifuatavyo

1. Amarula double Tshs 10,000
2. Gordons double Tshs 10,000
3. Zappa double 2 Tshs 20,000

Jumla round yake Tshs 40,000 na haraka haraka alikamua round tatu.

Mimi naomba kuuliza nyie madada hivi ukifanya hivyo huwa unakuwa una maana gani? Je wanaume wakikumega na kukimbia utasema wabaya? Acheni kujiweka class zisizo zenu!!! Kama unaweza kunywa kinywaji kama hichi akikisha na wewe unapiga round na siyo umebeba shs alfu kumi tena umeifunga kwenye handkerchief

Nawakilisha

hiyo ndio class yake, cha msingi siku nyingine ukiamua kutoa ofa make sure mfuko upo sawa!!!
 
Duh! Hii inanikumbusha nilivyomkimbia dada mmoja enzi hizo tukiwa chuoni
 
Umejuaje kama sio level zake wakati umesema umemkuta hotel tú...
Mimi shida yangu kwanini ajiweke level ambayo si yake??? Yeye akiwa mwenyewe anagonga Kili ya moto halafu akipata bwerere ndo anafanya hivyo, si tabia mzuri kabisa yani na ndo maana mademu kama hao huwa hawaolewagi kabisa ndugu zangu
 
Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za baridi. Tulivyomuona tukamuagizia kinywaji na haraka sana aliagiza kama ifuatavyo

1. Amarula double Tshs 10,000
2. Gordons double Tshs 10,000
3. Zappa double 2 Tshs 20,000

Jumla round yake Tshs 40,000 na haraka haraka alikamua round tatu.

Mimi naomba kuuliza nyie madada hivi ukifanya hivyo huwa unakuwa una maana gani? Je wanaume wakikumega na kukimbia utasema wabaya? Acheni kujiweka class zisizo zenu!!! Kama unaweza kunywa kinywaji kama hichi akikisha na wewe unapiga round na siyo umebeba shs alfu kumi tena umeifunga kwenye handkerchief

Nawakilisha

Yeye ana kosa gani? Mmejipendekeza, kitu kikaitika. Nadhani hii ndiyo dawa sahihi ya wanaume of your character, mdada hajasema kama anataka, alihisi pesa mnayo imekosa matumizi.
 
Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za baridi. Tulivyomuona tukamuagizia kinywaji na haraka sana aliagiza kama ifuatavyo

1. Amarula double Tshs 10,000
2. Gordons double Tshs 10,000
3. Zappa double 2 Tshs 20,000

Jumla round yake Tshs 40,000 na haraka haraka alikamua round tatu.

Mimi naomba kuuliza nyie madada hivi ukifanya hivyo huwa unakuwa una maana gani? Je wanaume wakikumega na kukimbia utasema wabaya? Acheni kujiweka class zisizo zenu!!! Kama unaweza kunywa kinywaji kama hichi akikisha na wewe unapiga round na siyo umebeba shs alfu kumi tena umeifunga kwenye handkerchief

Nawakilisha

Vp chief kwani alikushikia bastola si ni misifa yako ndio ilikutuma. Mwenzio ndio vinywaji vyake hivyo au kama vipi ungesema " Sista agiza castle lite kama zetu" Hahhaaahaaaa kuwa specific mkuu. Kama soda unasema agiza soda.
 
:smile-big:wakati bado anaendelea kuagizia vitu vya gharama hivyo, wewe agizia supu ya pweza na konyagi chap chap uanze kuweka mambo sawa
 
huhuhuhuuuu anachocheo harafu asipopewa itakuaje
 
Back
Top Bottom