Huyu demu ananitaka eti

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Amekuwa ni rafiki wa mdogo wangu wa kike, ni rika moja na dogo langu, sasa nashangaa juzi kati hapo kanirushia ki2 cha msg eti ananipenda kupita kiasi, nimeshindwa kum judge asee, she is cute ila mdogo wangu akija kusikia bro wake namchukua rafiki yake itakuaje hapo? Embu nishaurini hapo wajameni
 
Kama hajaanza na yeye ataanza kuchukuliwa na bro wake na huyo dada.
 
We mkamate tu, mkunje, mpe anachotaka aafu achana nae, tabu yote ya nini/
 
Jeezy...!!!!
Sasa ushauriwe nini?then u sound like a boy,too far to be a man to spell the word LOVE!
Mambo mengine mtu utie akili kuamua mwenyewe.
Okay lets say amekupenda,ok wewe je?au ndo tukushauri umpende?
Fine umekuwa nae af what next?kubanjuana ryt...
Ye yuko form ngapi?mimba ryt...
Okay,mdg wangu haya mambo sikukurupuka mnaweza vamiana then mnafika chumbani unakuja kuandika uzi huna cha kumwambia au ujui cha kufanya.
Jipange.
 
Unachelewe mno, fanya hima dogo, we kanyaga alafu ndio upost hapa kujua kama ulikosea au ulimpa anachostahili
 
Don't do what you don't want or not ready to do.
Don't be with a girl just for the sake of it.
Mapenzi ni kitu sacred na kitamu, usikiingie kabla hujawa tayari.
 
kwani wewe unafilaje kwake???? hebu tupe feedback kwanza ndo nirudi kushauri!!
 
Wamebadilishana tu.yeye anajua kile ambacho kaka yake anamfanyia mdogo wako, sasa in order to cement their friendship ameona na wewe akutege ili afaidi hicho kaka yake anachokipata kwa mdogo wako.sasa amua cha kufanya.
 

sasa ushauri wa nini wakati wewe humtaki unamuheshimu like your sister let her go na muambie tu kiroho safi ahaaa..

ila mkuu vitu vya hivi unakilapua halafu unasepa..
 
Mambo mengine si yakuomba ushauri. Kama unampenda jibu unalo
 
Kule fb marafiki zako wamekushauri nini boy...? hebu fuata ushauri wao ....
 

Mwambie dada yako/mdogo wako ndio akupe ushauri....si ndio unayemuogopa.
 
Wewe na hao watoto wenzio mko darasa la ngapi kwani?
 
Ndugu wajumbe, mleta mada hajaelewa alichoambiwa au hamjamuelewa ninyi? Ujumbe uko hivi: "nimeambiwa napendwa na shem wangu". Ndivyo nilivyomwelewa...jibu lake ni hili, "nami nakupenda". Kumbukeni huyo shem hajasema wakangonoke, bali anampenda tu.
 
Mi sikushauri utajivunjia heshima kwa mdogo wako hata mi mwaka jana ilinitokea baada ya kutembea na rafiki wa mdogo wangu ndugu zangu waliniraumu sana
 
From my xperiences ...marafiki wa dada zangu wakubwa kwa wadogo kwangu woote nilikuwa nawatafuna...tena hiyo inaimarisha urafiki wao kutoka shost mpaka wifi....chapa hicho kitoto kukomaza urafiki wa mdogo wako.

Tena naona umechelewa mpaka kimekutumia msg..mie nilikuwa namwambia sista aniweke kwa marafiki zake kama anaona ni mgumu namwambia anikutanisha nae kisha yeye atuache ki-mtindo nimalize show mwenyeweee...enzi hizo hakuna simu wala facebuku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…