enjai ya kyasha JF-Expert Member Apr 6, 2017 3,077 3,613 May 24, 2017 #3 Nami akiniomba hela namwambia afate BOT
mgodi JF-Expert Member Nov 5, 2010 2,780 1,846 May 24, 2017 #4 Naye akiomba pesa unamuuliza ni shilingi ngapi, then unazipiga picha kisha unamtumia kwa whatsapp
T thatsit JF-Expert Member Mar 12, 2017 1,870 2,915 May 24, 2017 #5 Huyo jamaa wenyewe anaonekana ni bashite, kuandika pia hajui. Sidhani km anaweza kudownload game