Huyu dada simwelewi

Kwa kukaa single kipindi kirefu lazima atakuwa na sababu ya msingi. Hivyo katika mazungumzo yenu chomekea hilo swali.

Kuhusu kwa nini hakukuwa na kuzungushwa zungushwa baada ya kupeleka ombi lako... Kimsingi ipo hivi, simba hufundishwa mbinu za kuwinda lakini katu hafundishwi namna ya kula mawindo yake...
 
Ushakuwa nae kwenye urafik kwa miez 6, inatosha kwa huyo mwanamke kukukubalia uwe nae, kwahiyo sio kwamba kakubali mapema,.ila alishakuwa na jibu siku nying sema ww ndio umechelewa kumuambia kuwa unamuhitaji
 
unamaanisha nin mkuu kusema Simba hafundishwi kula windo lake?
 
Ushakuwa nae kwenye urafik kwa miez 6, inatosha kwa huyo mwanamke kukukubalia uwe nae, kwahiyo sio kwamba kakubali mapema,.ila alishakuwa na jibu siku nying sema ww ndio umechelewa kumuambia kuwa unamuhitaji
Kauli yako Kama ina ukweli
 
Mkuu achana na hizo complications piga kazi mpaka akukubali
 
Reactions: B49
Sema we jamaa nae unafeli!

Yani umetongoza ukakubaliwa haraka unapata wasiwasi.

Kwahiyo ulitaka uchezee kwanza vibuti vyakutosha sio?
 
Reactions: B49
Kwan kukaa single mda mrefu nimakosa?

Hakuna kitu kibaya kama kuingia kweny mahusiano kw hofu y upweke.

Enter when u r ready, & sh s ready right nw
 
we piga miti acha mbwembwe dogo
 
Reactions: B49
Kiukwel nampenda lkn ananichanganya simwelewi kabisa Kwnn Amekaa single mda mrefu na wala Sjapata resistance kumpata
Wakuu nishaurin[/QUOTE]
ungejiuliza swali hilo kabla ya kumtongoza
 
Reactions: B49
Life is short, enjoy it while you can!
 
Reactions: B49
Kwa umri alionao ni anajitambua na nimwelewa,ndio maana hajakusumbua;ila wewe unakuwa na maswali kwa sababu umri wako ulishazoea kusumbuliwa na mabinti wa 18+
 
Ila mnaboa vijana wa kisasa, sijui mpoje vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…