B49
Member
- Sep 20, 2018
- 75
- 119
Huyu dada ni zaidi ya Miezi 6 tangu tumefahamiana
kiumri amenizid maana yeye ana miaka 30 na mm nna miaka 24 , maisha yake ya uchumi sio mabaya maana anafanya kaz na sio tegemezi
Tatzo ni maisha yake ya mahusiano kwa mda mrefu nimemchunguza nikagundua Hana mtu wala mtoto yuko single hata nilipomuuliza akaniambia hajapata mtu, jibu lililonipa wasiwasi maana yuko vzur kwa mwonekano
Niliamua kumtongoza sasa Leo amenipigia Simu akaniambia amekubali kuwa na mim
Kiukwel nampenda lkn ananichanganya simwelewi kabisa Kwnn Amekaa single mda mrefu na wala Sjapata resistance kumpata
Wakuu nishaurin