[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]uliwahi mnyonya anus? ..km ndio rudia upya na km hapana anza sasa....
Vip mkeo umeshamuhakikishia umeachana na yule mchepuko wako uliyekuwa unasafili nae?Tumekuwa kwenye uhusiano naye kama mwaka na nusu sasa. Ni single mother. Naonana naye occasionally kutokana na time table za kazi zangu na yeye kazi zake.
Mwanzoni nilikuwa namlipia bills zake zote, yaani kuanzia maji, umeme, chakula, mafuta ya gari, kujirusha weekend etc.
Siku moja tukakorofishana kidogo, akasema nisifikiri yuko na mimi kwa ajili ya vicent ninavyompa. Yeye yuko na mimi sababu ya mapenzi tu. Na akaenda mbali zaidi kudai kuwa ni bora nisimpe hela lakini nimpe mapenzi.
So mwezi uliopita nimejikausha kutuma hela, natuma meseji za mapenzi tu na simu nampigia mara kadhaa kwa siku.
Amepaki gari kwa sababu hana heka ya mafuta nampiti asubuhi na jioni kumrudisha. Tumekuwa karibu sana kipindi hiki, kwani na mimi nimestopisha safari zangu niko mjini tu, na bahati nzuri tunakaa direction sawa na mimi so kumchukua na kumrudisha is not an issue at all.
Sasa ameanza kulalamika eti nimebadilika na simjali.
Kwa kweli sielewi nifanye nini.
Hii ni chai tu mkuu anakumalizia nguvu tu kuandika yote haya.Acha upumbavu kijana inamaana huna wazazi wakuwaudumia ata ndugu wenye huitaji nao huna? Basi ata mtoto yatima hapo mtaani hakuna?
Kuliko kutapanya mali ovyo izo pesa mudumie mama yako mzazi utapata baraka duniani na mbinguni.
Kama bahati mbaya huna wazazi basi wasaidie watoto yatima somesha ata mmoja fani yeyote apate elimu.
Kumbuka unatakiwa kumudumia na kumpa pesa mwanamke ambaye nimkeo na sivinginevyo.
Acha uzinzi kijana tafuta mwanamke mnaependana oa kisha anza kuudumia kihalali audience kama unampenda nayeye anakupenda uyo single mother basi muoe ili umudumie akiwa mkeo.
Unachokifanya sasa nikutapanya Mali ovyo ovyo kitu ambacho ni dhambi duniani adi Mbinguni. Hivyo badilika kijana Fanya maamuzi sahii.